Na Angela Msimbira Kibiti
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa a Serikali za Mitaa Mhe Ummy Mwalimu ameridhishwa na Ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.
Akikagua miradi ya Maendeleo inayotekelezwa, na Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti leo Waziri Ummy ametoa siku 30 kukamilisha ujenzi uliobak na watumishi wa Halmashauri hiyo kuhama katika Ofisi hizo
Waziri Ummy ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kuhakikisha inatenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za wakuu wa Idara
Aidha Ujenzi wa Jengo la Utawala lhadi kukamilika unakadidiwa kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 5.6 na mpaka Sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 98
Post A Comment: