Thursday, 23 September 2021

WANACHAMA DCPC NA WANAFUNZI WA SJMC WASHIRIKI MAFUNZO YA KUJITAMBUA NA KUSIMAMIA MALENGO


*************************

Baadhi ya Wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) na wanafunzi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano (SJMC), wameshiriki mafunzo ya kujitambua na kusimamia malengo yako yaliyotolewa na Mwandishi Mwandamizi Joyce Shebe kwenye ofisi za klabu hiyo zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo ni matokeo ya mafunzo yaliyotolewa katika Jiji la Nairobi nchini Kenya Aprili,2021 na Taasisi ya Friedrich Naumann Foundation For Freedom kwa wanahabari wanawake kutoka Kenya na Tanzania.

No comments:

Post a Comment