Tuesday, 10 August 2021

MWENGE WA UHURU WATUA WILAYA YA MOROGORO KUTEMBELEA MIRADI YA BILIONI 1.3

 


Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando leo Agosti 10 2021 amepokea Mwenge wa Uhuru kutoka wilaya ya Gairo ,ambapo mwenge huo utatembelea miradi saba ambayo inagharimu zaidi ya bilioni 1.3.

Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro Albert Msando akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Gairo Jabir Omary Makame. Picha na Jackline Lolah Minja - Morogoro

No comments:

Post a Comment