Wednesday, 7 July 2021

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI KONGWA AKIELEKEA MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa kongwa Mkoani Dodoma alipokuwa njiani akielekea Mkoani Morogoro leo Julai 07,2021.

No comments:

Post a Comment