Wednesday, 28 July 2021

PICHA: Rais Samia Apata Chanjo ya Corona

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amepata chanjo ya UVIKO-19, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi ili ianze kutumiwa na Watanzania katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona wimbi la Tatu.

No comments:

Post a Comment