Monday, 19 July 2021

Mhandisi Mahundi atembelea mtambo wa maji Ruvu juu

 


Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam


NAIBU  Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akipata maelezo toka kwa Meneja wa DAWASA Mhandisi, Edward Mkilanya kuhusu maboresho yaliyofanywa kwenye mtambo wa maji wa Ruvu Juu na kuongeza kiwango cha uzalishaji maji kufikia lita milioni 196 kwa siku.

Naibu Waziri yuko Jijini Dar-es-salaam kwenye ziara  ya kutembelea miradi ya majisafi na usafi wa mazingira inayotekelezwa na DAWASA.

No comments:

Post a Comment