Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja  amesema Bonde la Pori Tengefu la  Kilombero ni sehemu ya ardhioevu linalochangia asilimia 62.5 ya maji yote ya mto rufiji hivyo kuwa chanzo muhimu cha maji kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere


Amesema Bonde hilo lina umuhimu  kitaifa na Kimataifa kutokana na uhifadhi wa bionuwai zilizo  adimu Duniani kama vile mnyama aina ya sheshe.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: