Tuesday, 18 February 2020

Breaking News: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji Ahamia CCM

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.Vincent Mashinji ametangaza rasmi kuondoka CHADEMA na kuhamia CCM leo February 18, 2020 na kupokelewa na Humphrey Polepole katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba DAR.

“Baada ya kutafakari mwenendo mzima wa siasa na uchumi nchini na kuangalia kina nani wako tayari nikaona kwa upande wetu Chadema bado tuko mbali sana kuchochea mambo haya ya maendeleo,”- Amesema Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Vincent Mashinji

No comments:

Post a comment