Sunday, 8 December 2019

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2020 Mkoa wa Mbeya na Arusha

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga  na Kidato cha Kwanza  mwaka 2020  kuwa ni  701,038 sawa na asilimia 92.27 ya wanafunzi 759,000 waliofaulu.No comments:

Post a comment