Monday, 30 September 2019

Salim Kikeke ateuliwa kuwa Balozi wa Simba


Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC imemteua Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Salim Kikeke kuwa Balozi wa timu hiyo mji wa London, Uingereza.

Pichani Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji akimkabidhi jezi ya Simba Balozi mpya wa Simba SC wa mji wa London, Salim Kikeke.

No comments:

Post a Comment