Thursday, 11 July 2019

JAFO AONGEZA SIKU 30 UKAMILISHAJI WA HOSPITALI ZA WILAYA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za MitaaMhe. Selemani Jafo (Katikati) akiwasili katika eneo la Ujenziwa Hospital yaWilaya ya Singida kukagua maendeleo ya Ujenzi.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. SelemaniJafo (Katikati) akitoa maelekezo katika eneo la Ujenzi wa Hospital yaWilaya ya Singida
   Moja wapo ya majengo yanayoendelea kujengwa katika hospital yaWilaya ya Singida
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikal iza Mitaa Mhe. Selemani Jafo akikagua vifaa vya ujenzi vilivyopo katik aeneo la Ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Singida alipofanya ziara yakukagua maendeleo yaUjenzi wa Hospital hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akagua vifaa vya ujenzi vilivyopo katika eneo la Ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Singida alipofanya ziara yakukagua maendeleo ya Ujenziwa Hospital hiyo.

NteghenjwaHosseah, Singida

Waziriwa Nchi Ofisi ya RaisTawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo ametoa siku 30 kwa Halmashauri zote zinazoendelea na ujenzi wa Hospitali za Wilaya kukamilisha kazi zote za Ujenzi ifikapo Julai 30,2019.

.Jafo ameyasema hayo wakati alipotembelea Hospital ya Wilaya yaSingida inayojengwa katika eneo la Ilongero na kukuta ikiwa imekamilika kwa asilimia 70.

Alisema hatua niliyoikuta hapa inaotoa picha ya uhalisia wakazi za ujenzi wa Hospitali za Wilaya katika Halmashauri zingine Nchini hii inaonyesha wote mmeshindwa kutumia muda uliowekwa ambao ilikuwa ni Juni 30.

“Kwaujumlasijaridhishwanakuchelewakwenukukamilishaujenzisababumnawachelewesheawananchihudumanimekuwanikisikiachangamotombalimbalizilizopelekeaucheleweshajiwakazihiisasanatoasiku 30 ilikilaHalmashauriikamilishekazizotezaujenziya Hospital katikaeneo lake” AlisemaJafo.

Mhe.JafoaliongezakuwaAgizohilinikwaHalmashaurizotezinazoendeleanaujenziwaHospitalizaWilayasitegemeikusikiasababuyeyoteifikapoJulai 30 ninatakakuona Hospital hizi 67 zikiwazimekamilikatayarikuwahudumiawananchinakamaHalmashauriinachangamotozakehuundio wakati wakuzitatua,tumienimudahuuwanyongezavizurikukamilishakazizotezilizobakia.

Mkuu wa Mkoawa Singida Mhe. RehemaNchimbi amesema vifaa vyote vya ukamilishaji wa ujenzi wa Hospital yaWilaya viko katika eneo la ujenzi hivyo kazi ya ukamilishaji itafanyika kwa haraka na ujenzi utakamilika ndani ya muda uliotolewa.

NayeMkuuwaWilayayaSingidaMhe. Pasacas Muragiri alieleza kuwa wamejipanga kikamilifu kukamilisha ujenzi huo na amemuhakikisha Mhe. Waziri kuwawatasimamiakwaukamilifuilikazihiyoikamilikekwaviwangonamudaaliongeza.

WaziriJafoameanzaziarazakikazikukaguamaendeleoyaujenziwa Hospital zaWilayaambazoalizitolewamaelekezokukamilikakablaya Juni,30 2019.

No comments:

Post a comment