Saturday, 13 July 2019

JAFO AHOJI MILIONI 60 UNUNUZI WA DAWA YA MCHWA HOSPITALI YA WILAYA YA MOROGORO DC Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaa Selemani Jafo akitoa maelekezo wakati alipotembelea ujenzi w ahospitali yaMorogoro Dc inayojengwa katika eneo la Mvuha kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Kebwe Steven Kebwe.
 Kutoka Kushoto ni Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Selemani Jafo akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Kebwe Steven Kebwe, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Regina Chonjo na Mkurugenzi wa Morogoro Dc Masoud Rioba wakifuatilia taarifa ya matumizi ya fedha za ujenzi wa hospital yaMorogoro Dc wakati wa ziara yakukagua maendeleo ya ujenzi huo.


  Muonekano wa moja ya majengo ya Hospital yaWilaya ya Morogoro
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa SelemaniJafo(katikati) akisisitiza jambo wakati alipotembelea ujenzi wa hospitali Wilaya ya Morogoro inayojengwa katika eneo la Mvuha

 wa Nchi Ofisi ya RaisTawala za Mikoa na Serikali za Mitaa SelemaniJafo(Mb) amehoji matumizi ya shilingi mil 60 manunuzi ya dawa ya mchwa katika jengo la Hospital ya Wilaya ya Morogoro linaloendelea kujengwa katika eneo la Mvuha.

Mhe.Jafo a lihoji matumizi hayo baada y akutoonekana kwa kipengele hicho kwenye taarifa ya matumizi za fedha za ujenzi wa hospital hiyo pamoja na gharama kubwa iliyotumika kununulia dawa hizo.

Akiwa katika ziara yake ya kukagua ujenzi wa hospital za Wilaya yaMorogoro Jafo alipokea taarifa ya ujenzi yenye mchanganuo wa matumizi ya fedha zaidi ya TshBilioni moja ilihali kipengele cha ununuzi wa dawa hizo za mchwa uliotumia zaidi ya Shilingi mil 60 kutoonekana kwenye matumizi yaliyowasilishwa.

Mhe.Jafoalihojiendapodawayakudhibitimchwailiwekwakwenyemajengohayonakujibiwakuwandionakazihiyoilifanyikakwagharamayashilingimilioni 60 ndipoalipoulizakwaninimatumiziyafedhahizohayajawekwakwenyetaarifa.

“Beiyaununuziwadawahiyosihalisinasijuikamamlijaribukujilinganishanawenzenuwahalmashaurinyingineilimfahamukuwawalitumiakiasiganikwenyeununuziwadawakamahiyonikiasigani au ninyimmenunuadawayaainaganiambayoimegharimukiasihikikikubwa cha Fedha” AlihojiJafo
Jafoaliongezakuwakamamlinunuadawahiyokwaninimatumiziyafedhahizohayaonekanikwenyetaarifayenu, napatamashakanamatumiziyafedhahizohapanilazimaijeTimumaalumukwaajiliyakuchunguzamatumizimabayayafedhazaMradiwaUjenziwaHospitalihiialiongezaJafo.
Wakati huohuoJafoalisemakuwakwakipindikirefuhalmashauriyaMorogoro Dc imekuwanamatumiziyasiyoridhishayafedhazamiradimbalimbaliyamaendeleohalihiyoinaonyeshadhahirikuwakunachangamotoyakiungozi.
“Hapakunatatizokubwanalazimatulipatieufumbuzihaiwezekaninyiemaramnashindwakutekelezamiradikwa wakati kuanziaujenziwaJengo la Halmashaurishilingimilioni 500 hazijulikaniziliponampakaleoJengohalijajengwasasamnatakatenatabiahiyomuiletekwenyemradiwa Hospital safari hiimtamalizaujenzihuuhaijalishifedhamnazo au mmezitumianilazimamkamilisheujenzi.
MpakasasammekwishatumiashilingiBil 1kujengamajengohayaambayohayaridhishihnahamjafikiahatakwenyehatuayakupauahukumnaniambiammebakiwanashilingimilioni 400 sitakikusikiasababuyeyoteninachotakanikuonaifikapoJulai 30 Hospital hiiimekamilika” AlisemaJafo.

Akitoleaufafanuzichangamotozilizojitokezakatikaujenziwa hospital yaWilayaMkuuwaWilayayaMorogoroMhe. Regina Chonjo amesema KamatiyaUlinzinaUsalamaimekuwaikishaurikila wakati namna bora nayaharakayakukamilishamradihuolakinikumekuanamuitikiomdogowawataalamuwaHalmashaurikatikakutekelezayaleyanayoshauriwanaKamatihiyo.

Naye MkurugenziwaHalmashauriyaMorogoro Dc Masoud Rioba alifafanua manunuzi ya dawazakuuaMchwakuwayalijumuishwakwenyetaarifayamradikatikakipengele cha vifaavyaujenzinasiokwenyekipengelekinachojitegemeandiomaanasiorahisikuionakwauharaka.

“Manunuziyadawayamejumuishwakwenyevifaavyaujenzihaionekanikwaharakakwasababuhatukuiwekapekeyakenagharamayakenishilingi mil 60 hiinibaadayakununualita 1500 ambazondizozilizokuwazinahitajikanakilalitamojailikuanagharamayazaidiyashilingielfu 55 hivyokuletagharamayazaidiyashilingimilionisitini” AlisemaRioba

Akifafanuakuhusufedhazilizobakiakamazinawezakukamilishaujenziwa Hospital hiyoamesemampakasasavifaavingivimekwishanunuliwahivyofedhahiyoiliyobakiaitawezakufanyakazizaukamilishajiwamajengohayonaamemuhakikishiaMhe. Waziriwa Nchi kuwa kazihiyoitakamilikakwafedhazilizobakia.

Wakatihuohuommojawamafundiwanaotumikakatikakazizaujenziwa hospital hiyoamelalamikakukosekanakwavifaavyaujenzikwamudamrefukatikaHospitalihiyohukumalipoyamafundihaoyakisuasuakitukilichoplekeakuwakatishatamaanamoraliwakuendeleakufanyakazihiyo.
MbalinachangamotozotehizozilizojitikezaWaziriJafoameagizauchunguziufanyikemaramoja wakati huohuokaziyaujenziikiendeleanaUongoziuhakikisheujenziwa hospital hiyoifikapoJulai 30, 2019.

No comments:

Post a comment