Sunday, 16 June 2019

TBL YASHIRIKI SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI 2019

Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABInBeb, imeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani mwishoni mwa wiki iliyopita. Katika maadhimisho hayo kampuni iligawa kinywaji chake pendwa kisicho na kilevi cha Gland Malt, kwa wananchi walioshiriki katika zoezi la utoaji wa damu pia wafanyakazi wake walijitolea kutoa damu.
Mratibu wa matukio wa TBL Mwanza akigawa kinywaji cha Gland Malt kwa baadhi ya wananchi waliojitokeza kuchangia damu katika viwanda cha furahisha jijini Mwanza.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL kiwanda cha Ilala jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kujitolea kutoa damu. -- Cathbert Angelo Kajuna, Founder and Mananging Director Kajunason Blog, P.O Box 6482, Dar es Salaam. Tel: +255 787 999 774 Alt: +255 765 253 445 www.kajunason.com "Everything is Possible Through Peace & Stability''

No comments:

Post a comment