Tuesday, 7 May 2019

TANGAZO: TATIZO LA KUTOONEKANA KWA PICHA KWA WATUMIAJI WA HALOTEL TUNAENDELEA KULISHUHULIKIA


Tunaomba radhi kwa tatizo la kutokuonekana kwa picha kwa Baadhi ya watumiaji wetu wa Blog yetu pendwa ya MsumbaNews Blog

Tatizo hili linatokana na Mifumo ya Google kubadilika na kusababisha Baadhi ya mitandao ya simu kushindwa kutoa Data zinazo weza kuonyesha Picha katika blog yetu.

Kwa watumiaji wa Voda,Ttcl  na Tigo hawakukubwa na tatizo hili ila kwa watumiaji wa Halotel na Airtel ndio wamekumbwa na tatizo hili.

Ila kwa sasa tunapamabana  kutatua tatizo hili ila  kwa upande wa mtandao wa Airtel tatizo limemalizika kwa sasa  tatizo limebakia kwa upande wa Halotel tu.

Bado tunaendelea na Ufumbuzi wa tatizo hili kwa Upande wa Halotel tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza katika kipindi hiki chote.

Kwa Maoni au maswali wasiliana nasisi kupitia namba hizi 0758767077 - 0762561399
No comments:

Post a comment