Sunday, 19 May 2019

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA MASHINDANO MAALUMU YA 20 YA QUR-AAN TUKUFU AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Bi. Sumayyah Juma Abdallah wa Tanzania baada ya kupata alama 98.66 na kuibuka mshindi watano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalum ya 20 ya Qur’aanTukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe MagufuliakimzawadiaBw. IdrissaOusmanewa Niger  baadayakupataAlama 98.67 nakunyakuaushindiwannewaWashindiwaKuhifadhiJuzuu 30 katikamashindanomaalumuya 2o yaQur’aanTukufuyaliyofanyikaUwanjawaTaifajijini Dar es salaam leoJumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuriya Muunganowa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Bw. Idrissa Ousmane wa Niger  baada ya kupata Alama 98.67 na kunyakua ushindi wanne wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aanTukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Bw. Faruq Kabiru Yakubu wa Nigeria baada ya kuzoa Alama  98.91na kuibuka mshindi waPili wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leoJumapili Mei 19, 2019


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Bw. Mohamed El Moujabba Diallowa Senegal baada ya kuzoa Alama99.88 na kuibuka mshindi wa Kwanza wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya waumini wa Kiislamu na wadau wengine wakati akihitimisha mashindano maalumuya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a comment