Wednesday, 8 May 2019

Picha: Muonekano wa nyumba ya Dkt. Mengi iliyopo MachameMuonekano wa makazi ya Dkt. Reginald A. Mengi katika Kijiji cha Nkweseko, Machame mkoani Kilimanjaro. Mwili wa Dk Mengi utalala hapa leo, na kesho ibada ya mazishi itafanyika Usharika wa KKKT, Moshi Mjini, na kisha utazikwa kwenye makaburi ya familia Kisereni, Machame.


No comments:

Post a comment