Monday, 6 May 2019

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU NDANI YA BUNGE LEO.


Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma Mei 6.2019.Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe, Bungeni jijini Dodoma Mei 6.2019.
 
Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 6.2019.
 
Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 6.2019. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Mbunge wa Sumve Richard Ndasa, Mbunge wa Sengerema William Ngeleja.
 
Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara (DCB), Godrey Ndalahwa ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Mei 6.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment