Sunday, 5 May 2019

MALECELA NA MKEWE WAMJULIA HALI MTOTO WAO WILLIAM MALECELA

Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela na mkewe Mhe Anna Kilango-Malecela wakiwa wamemtembelea kumjulia hali mtoto  wao William Malecela maarufu kama Le Mutuzu Super Brand aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam kwa matibabu leo
Jumapili Mei 5, 2019

No comments:

Post a comment