Thursday, 2 May 2019

DC ILALA ASHIRIKIANA NA WATENDAJI WA MANISPAA YA ILALA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI LEO

 MKUU wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwa ofisini kwake leo Alhamisi akisikiliza kero za wananchi wa wilaya hiyo katika kusikiliza kero hizo anashirikiana na watendaji wa Manispaa ya Ilala,Idara mbalimbali ikiwemo Idara ya Ardhi,Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii kwa ajili ya kuzitatua( Picha na Ilala Yetu)

No comments:

Post a comment