Monday, 29 April 2019

Ratiba ya leo Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL)Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) inatarajiwa kutimua vumbi tena leo ambapo Azam FC itavaana na Yanga SC. Chini ni ratiba ya michezo ya leo iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

No comments:

Post a comment