Thursday, 25 April 2019

Picha: TEMESA yafunga taa kuzunguka ukuta wa machimbo ya MereraniMtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle wa pili kushoto akitoa maagizo kwa mameneja wa Wakala huo ambao wameshirikiana kusimamia ufungaji wa taa katika ukuta uliozunguka machimbo ya madini ya Tanzanite eneo la Mererani, wilayani Simanjiro mkoani Arusha. Kutoka kushoto ni Meneja mkoa wa Arusha Mhandisi Heriel Mteri, Meneja wa Kilimanjaro Mhandisi Ferdinand Mishamo, pamoja na Meneja mkoa wa Dodoma Mhandisi Liberatus Bikulamchi (wa kwanza kulia).
No comments:

Post a comment