Saturday, 13 April 2019

Picha: Baraza la wanawake CHADEMA lakutana kumuombea Mbowe na MatikoBaraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA) wilaya ya Hai limekutana leo kumuombea na kumtakia heri Mwenyekiti wa Chadema taifa Mhe.Freeman Mbowe, na Mweka Hazina wa baraza hilo taifa, Mhe.Ester Matiko baada ya kuka rumande kwa siku 103.

No comments:

Post a comment