Sunday, 7 April 2019

Picha: Afisa Elimu Kagera akagua ujenzi wa madarasa na maabaraNa Clavery Christian, Bukoba

Afisa Elimu mkoa Kagera, Aloyce Kamamba amekagua ujenzi wa vyumba vya madarasa na maabara pamoja na choo katika shule za sekondari wilayani biharamulo mkoani Kagera ambapo amewataka wakuu wa shule kusimamia vizuri fedha zilizotolewa na serikali pamoja na halmashauli.


No comments:

Post a comment