Tuesday, 9 April 2019

BREAKING: Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi, ateua mpyaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Dkt. Oscar Albano Mbyuzi.

No comments:

Post a comment