Thursday, 28 March 2019

Rais Magufuli amuapisha Balozi Mlowola, aagiza mke wake kuhamishwa kikazi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo mapema amemuapisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola  Ikulu jijini Dar Es Salaam.

Hata hivyo, Rais John Magufuli ameagiza mke wa Balozi mpya wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola ahamishiwe kikazi kwenye ubalozi huo kuungana na mume wake.

No comments:

Post a comment