Saturday, 30 March 2019

JPM AKITETA NA MAJALIWA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli  akiteta na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kumwapisha Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Kamishina Valentino Mlowola, Ikulu jijini Dar es salaam, Machi 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a comment