Monday, 22 October 2018

MKUTANO MKUU WA TFF KUFANYIKA MKOANI ARUSHA


Kamati ya Utendaji iliyokutana Jumamosi Oktoba 20,2018 Makao Makuu ya TFF Karume,Ilala ilipitia masuala mbalimbali ikiwemo kumthibitisha Ninje katika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF.

Pia Kamati ya Utendaji imepitisha tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF wa mwaka.

Mkutano huo utafanyika Jijini Arusha Disemba 29,2018

Mkutano huo unafanyika kwa mujibu wa Katiba ya TFF na umepata siku 60 za kutangazwa kabla ya kufanyika


No comments:

Post a comment