Saturday, 2 June 2018

Meya Kinondoni Amshukuru JPM


Meya wa wilaya ya Kinondoni amshukuru Rais Magufuli kwa kusaidia wananchi kuona maendeleo kutokana na miradi mbalimbali kujengwa ikiwemo ya Barabara, Taa za Barabarani na miradi mingine mingi ambayo wananchi wanatakiwa kujivunia maendeleo hayo.

Hayo yamesemwa leo katika ofisi ya meya wa wilaya ya Kinondoni wakati wakisaini mikataba ya ujenzi wa barabara awamu  nyingine ya ujenzi wa barabara ambapo makambuni mawili yamesaini mikataba hiyo itakayoishia mwakani mwezi wa nane.

No comments:

Post a comment