Monday, 14 May 2018

WALIOFAULU USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA II KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Meru anawatangazia matokeo ya usaili ulioanza kufanyika tarehe 10-12/05/2018 kwa nafasi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja II.
Kwa hiyo wasailiwa walioshika nafasi ya 1 hadi 25 ndiyo wamefanikiwa kuajiriwa na Halmashauri ya Wilaya ya Meru. 
Aidha wataitwa kazini baada ya vyeti vyao kuhakikiwa na Baraza la Mitihani Tanzania na kubainika kwamba ni halali. Kuona majina ya waliofaulu usaili huu fungua hapa TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA II.pdf

No comments:

Post a comment