Friday, 18 May 2018

Mwenyekiti Wazazi Meru Afanga ziara mashuleni


Ziara ya Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Meru ndg Simon Kaaya ameendelea na ziara yake ya kuzitembelea shule zilizoko wilayani Meru.

==>> Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>

Ametembelea shule ya sekondari Ngongongare kata ya Imbaseni na kuongea na waalimu na wanafunzi katika kutatua kero mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwatia moyo wanafunzi wa kidato cha nne, wanaotarajia kumaliza masomo yao mwenzi wa kumi mwaka huu.

Ndg Simon Kaaya amewaambia wanafunzi hao kuwa wao ni nguvu kazi ya Taifa hili, na Mh:Rais Magufuli anawasomesha bure na watambue Tanzania ya viwanda iko mikononi mwao.

Rais MAGUFULI anawaandalia viwanda ili mkafanye kazi na kusimamia viwanda hivyo pamoja na rasilimali za nchi hii.No comments:

Post a comment