Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, inaendelea mkoani Morogoro ambapo leo Mei 7, ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA).
Rais Magufuli ameambatana na mkewe, Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wakiwemo, Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt Steven Kebwe na wengine.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: