Tuesday, 22 May 2018

IGP SIMON SIRRO AKUTANA NA RAIS WA TLS

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro leoamekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume aliyefika makao makuu ya Jeshi la Polisi kwa lengo la kujitambulisha tangu alipochaguliwa kuongoza chama hicho ambapo pia walijadiliana masuala kadhaa ya kisheria.
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro (kushoto) akiongea na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume aliyefika  makao makuu ya Jeshi la Polisi.
Mazunguzo yakiendelea.

No comments:

Post a comment