Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada, Mhe Alphayo Kidata aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tazama picha zaidi;

Share To:

msumbanews

Post A Comment: