Diwani wa kata ya Engutoto kupitia chadema Ndg. Emmanuel Ambroce Ambayo ni Kata anayotoka Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa katika wilaya ya Monduli amejiuzulu rasmi nafasi yake ya udiwani na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM mapema leo Asubuhi .

Tumekurahisishia habari zote unazipata hapa 
bonyeza link hapo chini 
==>> Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>
Share To:

msumbanews

Post A Comment: