Wednesday, 11 April 2018

Rais Magufuli avutiwa na maisha ya Dkt. Kikwete ‘nitastaafu, sitaongeza hata dakika


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa anavutiwa na maisha ya Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete kwani baada ya kustaafu anaonekana kijana zaidi na anafanya mambo makubwa ya kulitumikia taifa letu na bara la Afrika.

No comments:

Post a comment