Sunday, 15 April 2018

Rais Magufuli Ateua Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Viongoz Wengine Wanne


Rais Magufuli leo amefanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Naibu Mkuu wa Serikali, Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

No comments:

Post a comment