Saturday, 28 April 2018

Picha: Mtanzania aliyeshinda Miss World University Africa 2017 alivyowasili Dodoma

Queen Elizabeth Makune ambaye ameshinda taji la Miss World University Afrika 2017 lililoshirikisha mataifa 53 ya Afrika nchini Korea Desember 2017, jana April 27, 2018 alifika Jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Dkt. Susan Kolimba.


No comments:

Post a comment