Monday, 2 April 2018

Gabo ajizolea tuzo tano za SZIFF


USIKU wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa wakali wa Bongo Movies, hii ni kutokana na tuzo zilizokuwa zikiwaniwa kwa muda mrefu za ‘Sinema Zetu International Film Festival’ zilizoandaliwa na Azam Tv, kufikia tamati huku wasanii mbalimbali wa filamu wamejitokeza katika Ukumbi wa Mlimani City, kwa ajili ya kushuhudia nani ataibuka kidedea na kujinyakulia tuzo katika vipengele tofauti tofauti.

Miongoni mwa wasanii walionyakua tuzo hizo ni pamoja na muigizaji kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, Gabo Zigamba, ambaye ameshinda tuzo tano katika vipengele tofauti tofauti

No comments:

Post a Comment