Ali Kiba azindua kinywaji chake MOFAYA - MSUMBA NEWS BLOG

Monday, 30 April 2018

Ali Kiba azindua kinywaji chake MOFAYA


Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ametumia sherehe ya harusi yake kuzindua rasmi kinywaji chake kinachofahamika kwa jina la Mofaya katika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambako harusi hiyo ilikuwa ikifanyika usiku wa kuamkia leo Jumatatu.

Kinywaji hicho cha Mofaya hakina kilevi.

Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done