Sunday, 25 March 2018

Rais Magufuli ashiriki Ibada ya Jumapili ya matawi Kanisa la mtakatifu Petro


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa  leo wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Machi 25, 2018.No comments:

Post a comment