Wednesday, 21 March 2018

Kada Mkongwe wa ccm Ampongeza Rais Magufuli

Hongera Rais wetu Mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kwa kusimamia kikamilifu mradi huu umekamilika kwa wakati, na utawasaidia Watanzania 5000 kupata Ajira na pia tutaongeza idadi ya ndege kubwa kutua hapa nchini

Jengo hili  litakapoanza kutumika siku chache zijazo lina uwezo kuhudumia ndege 20 za kimataifa kwa wakati mmoja pia kwa mwaka litahudumia takribani abiria Milioni sita ambapo kwa jumla jengo hili jipya na la zamani yatahudumia abiria milion nane na nusu kwa mwaka 

 Numbers Don't lie, Mungu akitujalia Ukimaliza miaka 10 ya Uongozi wako, Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi Bora kabisa Duniani

 Jerry C. Muro
 #NiwakatiWetu
 #Tukutane Kazini

Picha mbalimbali muonekano wa jengo hilo baada ya kukamilikaNo comments:

Post a comment