Friday, 16 March 2018

Diva akomalia mahari ya Milioni 500Mtangazaji Diva ameendela kusisitiza kuwa ataolewa kwa mahari ni milioni 500 na mwanaume anayejua lugha ya kingereza
Diva ambaye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa muziki Heri Muziki ametoa kauli hiyo kwa kusisitiza kuhusu mahari yake na mwanaume anayemtaka mwaka huu. Kupitia mtandao wa Instagram Diva ametoa ameandika;
Kunioa Ni Milioni 500 …. set that Joke aside 🤦‍♀️deadly serious ….. Na Make sure unaongea English yenyewe hasa … uwe smart uwe very Handsome … uwe Loaded .. No broke niggas in 2018. Tupendane kwa Faida, you can say whateves .. jus heard worse , seen worse SMHFG Nothing mean to me … harshy aint new to me .. ve heard it all , but cha ching Money On da table wagwan 😛
mwenye Povu hana hela so ruksa Na Povu lako Nina OMO na JIKI plus Colgate n toothbrush jus there for u dummy … ps wenye Matangazo ya Biashara 👇🏼 ruksa kwenys comments.. 🤦‍♀️ #JK
January 24 mwaka huu mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm, Diva alidai kwa sasa haangalii tena 

No comments:

Post a Comment