Dc Kimanta akiwa amebeba zege 

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mh Kimanta Akiteta jambo na Viongozi  mbalimbali wa ngazi ya Wilaya.

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mh : kimanta ametembelea na kushiriki ujenzi wa  kituo cha afya cha Mto wa Mbu  ambapo kituo hicho kinajengwa kwa gharama Tsh.Mil.400  ujenzi wa kituo hiki cha afya kitawasogezea kwa karibu wananchi wa wilaya ya monduli




Share To:

msumbanews

Post A Comment: