Wednesday, 28 March 2018

Chadema kufanya mkutano Mkuu wa Taifa

Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Prof. Abdallah Safari amesema kuwa “Tumeazimia kesho tukutane tutafakari hali hii, itakuwa ni Kamati Kuu, Wabunge, Madiwani lengo ni kujadili mustakabali wa demokrasia nchini na kutoa maelekezo kwa wanachama nini cha kufanya”.

Prof. Safari ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam ameeleza kuwa pia watakuwa na Mkutano Mkuu wa Taifa.

No comments:

Post a Comment