Sunday, 4 March 2018

Breaking : Diwani wa Chadema mkoani Rukwa Ajiunga na ccm


Diwani wa Chadema kata ya Legezamwendo, Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa Ndg. Gerevas Mwakyusa amejivua Udiwani na Uanachama wa CHADEMA na Kujiunga na CCM Pamoja na wanachama wachadema zaidi ya 110 wamejivua uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM.
  kwa kile walichoeleza kuwa wamefanya hivyo ili kuunga mkono juhudi za Mh Rais  Magufuli.

No comments:

Post a comment