Tuesday, 20 February 2018

Diwani wa Chadema Arusha Ajiuzulu na kujiunga na CCM


Diwani wa kata ya Daraja Mbili halmashauri ya jiji la Arusha, Prosper Msofe (Chadema) amejiuzulu uanachama na udiwani leo hii na kutangaza kujiunga na ccm kwa kile aluchoeleza kuwa amefanya hivyo ili kuunga mkono juhudi za Mh Magufuli.


No comments:

Post a comment