Monday, 22 November 2021

WAZIRI MAHUNDI ACHANGIA MIL.1.5 PAROKIA YA MONICA MATOSA

 

Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi(Mb) ameshiriki ibada Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam Parokia ya Mtakatifu Monica lililopo Matosa.


Katika ibada hiyo Mhandisi Maryprisca Mahundi amewapongeza kwa ujenzi naye amechangia shilingi 1.5m kwa ajili ya kutengeneza viti vya kukalia.


Aidha amesema Wizara inaendelea kukabiliana na upungufu wa maji Jijini Dar es Salaam upungufu uliosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi.


Hata hivyo ametumia nafasi hiyo kuwataka Watanzania kuvitunza vyanzo vya maji.No comments:

Post a Comment