Thursday, 26 August 2021

WAITARA AZITAKA TAASISI ZA MIUNDOMBINU KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU

 

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara akifungua rasmi kongamano la tatu la ustahimilivu wa miundombinu leo jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa kongamano la tatu la ustahimilivu wa miundombinu linaloendelea jijini Dar es Salaam wakifuatilia uwasilishwaji wa mada mbalimbali kuhusu changamoto za miundombinu katika kongamano hilo.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara akisisitiza jambo kwa washiriki wa kongamano la tatu la ustahimilivu wa miundombinu linaloendelea jijini Dar es Salaam.

 

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara akisisitiza jambo kwa washiriki wa kongamano la tatu la ustahimilivu wa miundombinu linaloendelea jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya B & F Global, Bw. Bruno Kinyaga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari katika kongamano la tatu la ustahimilivu wa miundombinu linaloendelea jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Ufundi na Uwezeshaji wa TTCL, Bw. Cecil Francis akiwasilisha mada kuhusu shirika hilo la mawasiliano linavyofanya kazi kwa kushirikiana na taasisi nyingine za miundombinu.

No comments:

Post a Comment