Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali
Nchini Rwanda kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili kwa
mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Paul Kagame leo Agosti 02,2021.
Post A Comment: