Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma

Waziri mkuu mstaafu  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter  Pinda amelishauri Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali[NaCONCO ]kuwa daraja la kusaidia vijana kuwaelimisha ili wajitambue  kuwa wao sio taifa la kesho bali ni taifa la leo na wachangamkie fursa za kilimo na ufugaji.

Mhe.Pinda amebainisha hayo nyumbani kwake    kijijini Zuzu  Mkoani Dodoma alipotembelewa na wajumbe wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali [NACONGO] lengo ni kujifunza namna alivyowekeza katika sekta ya kilimo na ufugaji.

Waziri mkuu mstaafu huyo amesema vijana  wana nafasi kubwa katika mchango wa taifa hivyo wanatakiwa kuchangamikia fursa zinazowazunguka hususan sekta ya kilimo na kubainisha kuwa kuna haja ya kuwa na kituo cha kilimo kila kanda hali itakayochochea zaidi vijana kujikita katika  sekta hiyo.

“Kwa  takwimu zilizopo kundi la hawa vijana ni kubwa sana ,kikubwa ambacho mnatakiwa kukiangalia ni kuwaangalia hawa vijana kwa mawanda mapana kundi la vijana ambao hawakusoma na vijana wasomi,ukitaka kuwasaidia vijana lazima uangalie unafanyaje,ushauri wa kwanza tujaribu kuwaasa vijana wajitambue kuwa wao sio taifa la kesho bali ni taifa la leo ,yote na yote kama kijana lazima uangalie fursa zinazokuzunguka hivyo ninyi NACONGO mnatakiwa muwe daraja la kuwaelimisha vijana wachangamkie fursa hasa kilimo’’amesema.

Kuhusu asasi za kiraia husan Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali [NACONGO]Mhe.Pinda amesema  zina mchango mkubwa kwa maendeleo ya jamii hivyo amewaasa kuwa mstari wa mbele pia katika kuelimisha jamii kuondokana na hali ya utapiamlo nchini  pamoja na mapambano dhidi ya umasikini.

Aidha,Waziri mkuu   mstaafu huyo ametoa wito kuwa na uwazi masuala ya kifedha kwa asasi za kiraia  ili ziweze kuaminika zaidi kwa serikali.

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali Lilian Badi amesema hatua ya ziara hiyo wamejifunza mengi kuhusu masuala ya kilimo huku akitoa ombi la kuwezeshwa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya NACONGO.

“Sisi kama wajumbe wa NACONGO tumefarijika sana tumezunguka katika mashamba mbalimbali ikiwemo maeneo ya zabibu,miembe,ufugaji wa samaki ,nyuki hakika tumejifunza mengi kwa busara zako,kama wewe mtu mkubwa serikalini unakubali kukaa shambani ,iweje sisi vijana tulinge tukimbilie mjini hongera sana mzee wangu,pili sisi hatuna ofisi tunachohitaji kiwanja hakika tukipata kiwanja tukajenga ofisi ya kudumu hapa makao makuu ya nchi ,Dodoma  kuliko kuishi nyumba ya kupanga Dar Es Salaam hakika NACONGO itaendelea fedha za kujenga ofisi hatutakosa tukipata kiwanja tutajitutumua “amesema.

Mtoto wa Waziri mkuu Mstaafu ,Peter Pinda amewaasa watanzania  kuondoa dhana potofu kuwa kilimo ni umasikini.

“Vijana tunachotakiwa ni kubadilika tuachane na dhana potofu kuwa kilimo ni watu waliokosa kazi tulime”amesema.

Baadhi   ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali [NaCONGO]akiwemo Novatus  Marandu  kutoka mkoani Kagera,Penina Manyanki kutoka Dodoma ,Musa Ngangala kutoka Shinyanga  ,Angelus Tungaraza  kutoka Kigoma ,Stambuli Shemkomba kutoka Lindi pamoja na Gaidon Haule kutoka mkoani Pwani  wamesema kupitia ziara hiyo wamejifunza mengi   na kuahidi kwenda kueneza ujumbe kwa vijana fursa za kilimo.

Shamba la Waziri Mkuu Mstafu Mizengo Pinda linajumuisha miradi mbalimbali ikiwemo kilimo cha zabibu,kilimo cha miembe,kilimo cha nyanya ,ufugaji wa ng’ombe,na ufugaji wa nyuki .

MWISHO.

PIC 1.Waziri mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali[NACONGO]baada ya kumtembelea nyumbani kwake Zuzu Dodoma, kushoto  aliyeketi  ni mwenyekiti wa NACONGO taifa ,Bi.Lilian Badi  katikati  ni waziri mkuu mstaafu Mizengo  akifuatiwa na katibu mkuu wa Baraza hilo Revocatus Sono  

 PIC.2,,Wajumbe wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali [NACONGO] wakiwa wanapata elimu namna nzuriya ufugaji wa samaki katika moja ya bwawa la waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda[Picha na Faustine Gimu Galafon]

Show quoted text

Show quoted text

Hide quoted text

JULAI 13,2021

PINDA AISHAURI     NACONGO   KUWA  DARAJA   LA    KUWASAIDIA VIJANA KUJITAMBUA  KWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KILIMO.

 JULAI 12,2021

Show quoted austine Gimu Galafoni,Dodoma

Share To:

Post A Comment: